Watoto waimbeWatoto wajifunzeWatoto wajitambueApp hii inamleta mtoto katika ufahamu binafsi juu ya Mungu na Jamii kiujumla.Atajifunza kupitia nyimbo, maswali, filamu na katuni mbalimbali. Tunategemea kuwa App hii italeta maendeleo bora kwa kila mtoto.Karibu sana.